Zitambue faida zinazopatikana ukitumia tunda la papai

Hizi ni baadhi ya faida ambazo unaweza kuzipata kwa kula papai au kunywa juisi yake

Papai lina fibrin ambayo hupunguza kuganda kwa damu

Fibrin inaweza kuzuia kiharusi

Lycopene iliyomo katika papai inaweza kupunguza hatari ya kansa ya kibofu

Mbegu za papai hutibu homa ya matumbo (typhoid)

Juisi ya papai huondoa sumu mwilini
Juisi ya papai hutibu vyema shinikizo la damu
Juisi ya papai husaidia kuzuia magonjwa ya moyo

Juisi ya papai ina folate, vitamini C na E ambavyo huzuia saratani ya utumbo.

Juisi ya papai hujenga kinga ya mwili

Ijue faida ya kula magimbi kiafya

Kabla sijakita katika maada kama inajieleza hapo juu naomba nikuulize , hivi mwenzangu mara ya mwisho kula magimbi ili kuwa lini? Bila shaka nadhani utakuwa umesahau kama hujasahau basi utasema mara ya mwisho utasema ilikuwa ni kipinndi cha ramadahani.

Kwa muktadha huo utagundua ya kwamba wengi wetu hudhani ya kwamba magimbi ni chakula ambacho huliwa kipindi cha ramadhani pekee jambo ambalo si la kweli hata kidogo, kwa sababu watalamu wa masula ya afya wanatulumbusha ya kwamba kula magimbi mara ni kinga na pia ni tiba kama ambavyo nitakueleza leo faida za magimbi.

Miongoni mwa faida ambazo zinapatikana kwa kula maghimbi ni pamoja na;

1. Kuimarisha afya ya ngozi yako.
2. Kupunguza uwezekano wakupata ugonjwa wa Kisukari.
3. Ukila magimbi Inaongoza nguvu ya mwili wako kupambana na magonjwa ya kuambukiza.
4. Inapunguza athari za kupata kansa ya mapafu na kansa ya kinywa.
5. Inaongeza nguvu ya kuwa na ubongo mzuri wa ufahamu.
6. Inasaidia kuongeza damu mwilini.
7. Inasaidia kusaga chakula mwilini
Kuongeza nguvu au kasi ya macho yako kuona vizuri.
8. Inapunguza msongo wa mawazo.

Kwa faida hizo chache kati ya nyingi nadhani utakuwa umegundua ni kwa kiasi gani magimbi yanavyohitajika mwilini. Hivyo jitahidi kuwa mlaji wa magimbi kwa  ubora wa afya yako.

Aina ya wateja ambao unatakiwa kuwaepuka mapema kwenye biashara yako

Katika biashara ni kawaida kukutana na wateja wa aina tofauti tofauti na wateja wote kama tujuavyo ni muhimu na hutakiwi kumpa huduma yako mteja vibaya hadi ajisikie kwamba hataweza tena kuja kwenye biashara yako.

Mteja anatakiwa kujaliwa na kupewa huduma ambayo itamfanya ajione kwamba yeye ni mfalme kwa mazingira yoyote yale uliyo. Naamini hilo linawezekana sana kwako na unatakiwa kulifanya hilo katika uhai wote wa biashara yako.

Pamoja na kwamba mteja anatakiwa kujaliwa hivyo na ni muhimu, lakini, wapo aina ya wateja ambao inatakiwa kuwa nao makini sana katika biashara yako ili wateja hawa wasije wakaleta matatizo mengine kwenye biashara yako.

Wateja hawa ni wateja gani? Twende pamoja kujifunza;-

Jenga umakini na wateja wako.

1. Wateja wanaolalamika sana.
Wapo wateja ambao kazi yao ni kulalamika sana. Wateja hawa wanalalamikia kitu hiki au kile kwenye biashara na kushindwa kuongea ukweli na kutatua changamoto za pamoja. Wateja hawa ni hatari sana kwenye biashara yako.

Wateja hawa ni moja ya wateja unaotakiwa kuwaepuka sana. Ni rahisi kukuharibia biashara yako na kusababisha wateja wengine wakukimbie kwa sababu ya kulalamika sana kusiko na msingi. Wateja wapya watafikiri kweli bidhaa zako ni mbovu kumbe la.

2. Wateja wanaokupotezea muda sana
Pia wapo wateja ambao naweza kusema wao ni kama wana nia  ya kukupotezea muda wako. Wateja hao si ajabu ukakuta wanauliza kitu fulani kwa muda mrefu sana na wanakiangalia na kukichunguza hata bila ya kununua pengine.

Unachotakiwa kuwa makini nacho hapa ni kuwa makini na wateja wa namna hii unapokutana nao ana kwa ana na hata wale unaokutana nao kwenye mitandao. Fanya hivi bila wao kujua kwamba unawaepuka.

3. Wateja wanaojiona wao ni maalumu sana.   
Kuna wateja ambao wanapenda kujiona wao ni muhimu sana kuliko wateja wengine. Wateja hao ni rahisi tu kudai namba ya meneja wako au bosi wako ili wamweleze kile wanachokitaka wao wenyewe.

Kwa kifupi unapokuwa na wateja hawa nao ni wasumbufu sana na wanapenda kufanya kila wanachokitaka kwenye biashara yako ilimradi tu waonekane. Hivyo unatakiwa kuwa makini nao na kujua pia jinsi ya kuwakabili ii wasilete matatizo mengine.

4. Wateja wanaotaka kupatanisha kila kitu.
Sina shaka unawajua wateja ambao ukiwatajia bei ya kitu, wao ni kutaka kupatanisha na kuomba punguzo kila wakati. Unapokuwa na wateja wa namna hii wengi basi biashara yako itakuwa na usumbufu sana.

Vipo vitu ambavyo havihitaji kupatanishwa, bei na kila kitu kinaeleweka, sasa unapokuwa na mteja anayetaka kila kitu kiwekwe kwenye mapatano hapa unatakiwa pia uwe makini sana, vinginevyo utafanya biashara kwenye mazingira magumu.

Hawa ndio wateja ambao unatakuiwa kuwaepuka au kuwa nao makini sana kwenye biashara yako. Sijasema wateja hawa uwafukuze au uwajibu vibaya, ila unatakiwa kuwa nao makini ili wasije wakakuvurugia wateja wengine ambao ulitakiwa kuwa nao kwenye biashara.

Simulizi ya mahaba NIPE YOTE (15)

Kessy baada kuwavutia wale washikaji kichakani maana aliwazimisha kabisa akabaki kutafakar sijui awafanyie nini hawa maboya mapimbi tu
“sijui niwabake au niwachovyeke vijiti niache history hapa kijijini, ni mawazo ya Kessy mtoto mwana haramu sana huyu
basi alicho kifanya ni kumvua bukta kijana mmoja wapo huku akiwa kasha jiandaa kuishusha track suit yake ila akakumbuka hadithi ya bibi ikabidi aogope kufanya kitendo hicho haramu
“dadeki zao hawa mmbwa
wana bahati sana tu
isinge kuwa hadithi ya bibi ninge wala mipododo yao, akatoka vichakani mbio akaenda dukani kuchukuwa sugar na kurudi zake home

siku zikazidi kusonga pasipo
Kessy na Abdu kuwaza kurudi mjini kusema kweli kila mmoja kwa akatamani hata aamie hapo hapo jumla
“oyaa Abdu cheki totozi kulee!!!
“yuko wapi huyo?”
“tizama kule kwenye kiotel kile,”
“ohoo whao zinga la demu sema nini bila shaka kitu kutoka town kile?”
“ndio penyewe pale so kama vipi wacha nimzukie,
“ahaa Kessy kaka kila demu wewe tu yule niachie mimi kichaka changu kile wacha nikakojoe, baada kusema vile
Abdu akanyanyuka kwenda kumfata yule mrembo mwenye figa kama kajala yani huku nyuma kafungashia sio wewe demu wako akienda kama anarudi kumbe ndio anaenda hivyo tako flat kama kapigwa pasi ha!ha!ha!ha! mwanamke tako bwana lisiwe machina tu basi
Abdu baada kufika pale akazuga kuomba maji ya kunywa kwa binti yule ndio alikuwa kama muhudumu bila shaka itakuwa kihotel cha mama yake anamuangalizia tu,

“mmh! wewe nawe hata kula chakula hujala una shindilia mimaji tu!!!
“kwani chakula bei gani?”
“ugari sahani moja ni shilling mia saba na ubwabwa sahani shilling elfu moja tu,
japo kuwa Abdu hakuwa na njaa ikabidi aagize chakula bila kupenda akachungulia kumcheki
Kessy pale alipo muacha hayupo
“sijui huyu boya kaenda wapi afu yeye ndio ana pesa zangu dahaa, muda huo chakula kisha wekwa mezani
kumbe pesa anazo
Kessy wakati Abdu anakuna kichwa
kumbe
Kessy akiwa pale kuna vibinti kama vitatu hivi vilikatiza mbele ya macho yake na wakati huo yupo nyuma akivifatilia
vile vitoto vilivyo tinga yunform za shule “psiii!!!psi!!! ni sauti ya mruzi iliyo wafanya wale mabinti waweze kugeuka na kutizama nyuma,
Kessy baada kuona wamegeuka akaenda mbio mpaka pale walipo simama na kutoa salamu
“dahaa mambo zenu warembo?”
hakuna hata mmoja aliye itikia ile salamu zaidi ya kumtizama tu
basi
Kessy akaendelea kusema “ahaa jamani vibaya hivyo hata kuitikia salamu hamtaki duhuu kwanza salamu haitii mimba au naongopa?”
ile kauli ya kwamba salamu haitii mimba ikawafanya wale mabinti wacheke sana tu, ha!ha!ha!ha
“sasa mbona mnacheka vipi tena?
mmoja kati ya wale mabinti akamjibu
“unajuwa nini wee mkaka umetuchekesha sana ndio salamu Haiti mimba ila salamu inazaa kutongoza”
baada kusema vile wale mabinti wakaondoka zao
Kessy hakuwa na jinsi zaidi ya kusema “shit! kudadeki ndege watatu nimemkosa hata mmoja akiwa anarudi kumcheki Abdu kule alipo muacha kwa mbaali akasikia kelele za utatoa pesa hutoi!!!
utalipa ulipi!!! ikabidi afanye faster kuwai ili akashuhudie huo ugomvi wa nini kwani baada kufika akaweza kumuona Abdu kawekwa mtu kati na washkaji flani hivi huku yule mwana Dada akiwa kamkunja Abdu na kuitaji pesa yake
Kessy aka tabasamu na kwenda kuingia kati kwa nia ya kumuokoa mchizi wake “oyaa jamani kuna nini tena hapa mbona mna kunjana kunjana?”
yule dada akajibu “si huyu bichwa maji kaja hapa kuagiza chakula nikamtengea sasa kala vijiko viwili tu anasema kashiba na kutaka kuondoka nikamuuliza vipi mbona hujalipa ananijibu eti ohoo nimesahau pesa nyumbani kama vipi twende ukachukuwe!!!
Kessy aka tamani kucheka ila akajizuia tu na kusema sasa mimi nitalipa kwa niaba yake cha umuhimu muagize kijana yeyote hapa niende nae kwetu nikampe hiyo pesa kwani shilling ngapi?”

“ni elfu moja tu mama naomba huyu mwehu msimuache wacha mi nikaichukuwe hiyo pesa si sio mbali hapa na kwenu ehee?”
“ndio sio mbali ni hapo tu bondeni,
basi wakiwa wanaondoka
Kessy na yule mrembo basi alicho kifanya Kessy ni kumkonyeza
Abdu kwa kumwambia mi naenda kula mzigo huu wee chomoka hapo, safari haikuwa ya kitoto kutoka bungo mpaka mikongeni ni hatua si mchezo
kumbe Abdu na Kessy walikuwa pande za bungo siku hiyo
“hii wee kaka mbona nyumba tunazidi kuzipita tu huko kwenu hatufiki?”
“wee twende tu tukiingia kinjia kile pale kwa mbele yake kidogo tu ndio kwetu!!!
“isije ikawa unakaa mikongeni maana ni mbali huko!!!
baada kuingia kinjia kimoja wapo hivi
Kessy kama mchawi vile au mwana sayansi akamgusa yule binti sehemu ambayo hakuitaji kuguswa kwa kumwambia “mdudu huyo,

basi yule binti akaruka kwa kuogopa mdudu na kujikuta ana mkumbatia
Kessy kwa nguvu zote nae
Kessy akufanya ajizi zaidi ya kuzidi kuitomasa ile sehemu basi mtoto wawatu akawa hoi macho yame muiva kwa kuzidiwa na nyege “ahaaaa,,,

basi kila mmoja mzuka ukampanda na kujikuta wakijivutia kichakani zaidi wakatafuta sehemu nzuri isiyo na miba na kutandika kanga
Kessy akamshika kiuno binti yule huku akimtomasa nyonga zake ahaaaaaa,,,asssssss,,,,,,
midomo yao ikakutana na kunyonyana denda kwa pupa assssssss,,,ohooooooo,,,babiiii,,,,unaitwa,, nani Kessy aliuliza swali hilo huku akiwa analiminya ziwa la mrembo huyo
ohoooo,,,assssss!!!!,,,,naiiiiitwa,,,,ahaaaaaa,,,
Sada,,,,,,,,,
akipeleka mkono wake kwenye mapaja makubwa ya Sada yaliyokuwa ndani ya dera ikiwa na mpasuo kuanzia chini mpaka sehemu ya kiu noni hivi ambayo ilionekana haimtoshi vizuri kwani kuna maeneo ya mwili ilishindwa kuyafunika
,,,jamaniii,,weweee,,,alishtuka huku akiongea hivyo kimahaba kwa sauti iliyotokea puani
,,,unajisikiaje,una matako laini jamani,,,mkono wa Kessy uliendelea kutembea ambapo sasa ulikuwa kwenye kiuno cha Sada ukitembea kukizunguka na kumsababishia Sada kuanza kusisimka
,,,,aaaaaah,,,aaaah,,mmmh,,,alilalamika Sada huku naye akiunyoosha mkono wake uliolifikia dudu la Kessy lililosimama kwa hamu,akaanza kulipapasa kwa nje huku akiziminyaminya kende zake zenye uviringo wa wastani,alilishikashika dudu hilo kwa nje ambapo liliongezeka ukubwa wa kutuna
Sasa ikawa kila mmoja anamshambulia mwenzake,ila Sada ndiye alihitajika asiwe mzembe kwani yeye ndiye aliyotakiwa amzidi kete Kessy basi Sada hakujali kama yupo vichakani au porini kwa manjo ya ajabu akavua kila kitu akabaki na bikini tu hata hiyo ikavuka na kumbakisha dada wa watu akiwa uchi kabisa,matako yake na hipsi zake zilinona kiasi kwamba hata ukiziangalia zenyewe tu lazima rijali ungedindisha dudu lako,halafu dada huyu hakuwa na ule unene wa manyama mengi,unene wake ulikuwa mzuri sana basi
mkono wa Sada uliingia ndani ya bukta nyepesi ya Kessy na kulishika dudu lake ambapo kwa joto la mkono tu Kessy alianza kuhisi raha,dada huyo aliyekuwa na mitindo adimu ya kufanya mapenzi,alimvua ile bukta kama ana ugomvi na yeye,kisha akatanda katikati ya mapaja yake na kulishika vyema dudu hilo lililosimama na kuanza kulitumbukiza mdononi mwake,,,,kichwa dudu la Kessy kilipokelewa na ulimi wenye joto wa Sada kisha kuzamishwa ndani kabisa ambapo Kessy wa watu alianza kuangaika na miguu yake,,,,aaaaaaaah,,,­aaaaaaaaah,,,,,,mmmm­h,,,aaaaaaaah,,,,alilalamika Kessy kwani alichofanyiwa na Sada hakuwahi kufanyiwa na mwanamke yeyote,sio tu kunyonywa dudu lake bali Sada aliongezea utundu uliomfanya Kessy kuanza kurusharusha miguu kama mtu mwenye kifafa kwa utamu aliouhisi,,,,

huku mjini mambo hayakuwa mambo hata kidogo baada familia ile
kuvamiwa na kupigwa kama watoto wadogo mpaka kufikia hatua ya
Amina kubakwa na kuamua kujichomeka kisu kwa bahati nzuri akaweza kuwahishwa hospital
akatibiwa na kupona siku hiyo wakiwa wame kaa uwani mama yake Kessy akawa anasema
“Amina mwanangu Ashura na Stumai ninacho waomba hii habari msimwambie Kessy wala Fredy maana yata kuja kuzuka makubwa zaidi ya haya ninacho waomba tuyaache kama yalivyo,
“hapa mama nishamtuma
Hamisi leo hasubuhi akampe taarifa hizi
Kessy hatuwezi kuteseka wakati wakombozi tunao,
“Mungu wangu wee ina maana umemtuma mtu kwenda kibaha?”
“ndio mama na nimjuavyo kaka
Kessy atarudi leo leo wee ngojea uone,
basi mama yao akachoka hoi hakuwa na chaku sema tena maana kama taarifa zikifika kwa chizi nahisi patakuwa hapatoshi

tukija upande wa Abdu baada
Kessy kumpa ishara afanye kitu basi alipo ondoka tu akaanzisha timbwili kwa kumtia mama wawatu kidole cha macho akatowa yowe zito la maumivu kilicho fatia hapo ni Abdu kutembeza dozi kwa washkaji kama wanne hivi aliwachapa kama vitoto na kusepa zake
“kaka!!!kaka Abdu, ile sauti ya Abdu kuitwa haikuwa ngeni masikioni kwake ikabidi acheki na kujikuta anasema “kha!!!
Hamisi akaenda mbio kum kumbatia kwa basha na kumuuliza “vipi mbona upo huku?”
“ahaa wee acha tu kaka mjini majanga si yaki toto,
“majanga gani tena?” “embu kwanza twende nyumbani basi nikakupe full story,

tukija chaka huku mambo yalikuwa mambo maana
dahaa
Kessy alikuwa kasha lichomeka
dudu lake kwenye kitumbua chenye joto cha Sada kilichoonyesha siku nyingi hakija shughu likiwa ipasavyo,,,aaaaaaaaa­aaaaaaaaaaaaaaah,,,alipiga yowe la utamu Sada ambapo alianza kulikatikia dudu hilo lililokuwa linamsugua kwa kasi ya ajabu,,,,yyaaaaamoto­oooooo,,,aaaaaaaaah,,,,aaaaah,,,moyoni Kessy alimjibu,,,utataja bendi zote twanga pepeta,,,,, acudo,aaaahhhhhhh­h,,,,,aaaaaaaammmmmm­mmmmmh,,ooooooh,,aaa­aiiiiiiiiiiissssssss­sssssss,,,,uuuuuuh,,,aaaaaaaaah,,,eeeeee­eeeeeeeeohiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
niiiiiiiiipeeeee,,,,,yoteeeee,,,,,ahaaaaaaa,,,
Kessy akazidi kusokomeza mashine tu ahaaaaa,,,babiiiiiii

Je nini kitaendelea?

Zamaradi Mketema Ameachana na Wasafi TV?

Mtangazaji wa zamani wa Clouds Media Group, Zamaradi Mketema ambaye baada ya kuvunjika kwa mahusiano yake ya kimapenzi na Mkurugenzi wa CMG, Ruge Mutahaba, alihamia Wasafi Media kuendelea na career yake.

Baada ya uzinduzi rasmi wa Wasafi TV na Wasafi FM, ilitarajiwa mtangazaji huyu mahiri kuanza kuonekana kwenye runinga akiendesha kwa mafanikio kipindi kama alivyokuwa akifanya Take One na kituo chake cha kazi cha zamani.

Tofauti na matarajio ya wengi, ghafla mwanadada Zamaradi ameanza kujiondoa kushiriki kwenye kazi zote zinazohusiana na Wasafi pengine kabla hata ya kuanza. Na kwa tukio la hivi karibuni la Wasafi Festival, hakuonekana kuongelea chochote kama ilivyo ada kwenye projects nyingine za Mwajiri wake huyo mpya.

Sasa, kwa sababu bado hakujatoka official say, naomba kupitia uzi huu tukajaribu kudodosa endapo kuna lolote linaloendelea linalopelekea awe kimya kabisa huku akionekana kuwa busy na shughuli zake nyingine.

Maswali ya shauku;

1. Mgongano wa kimaslahi na kukomoana baina ya Wasafi Media na Clouds Media umemweka njia panda?
2. Hali ya Afya ya mzazi mwenzie (Ruge) imemfanya ashindwe kuvumilia kuhimili vishindo vya kejeli kutoka kwa wanaofurahia anguko lake?
3. Ameshindwana malipo na Wasafi Media?
4. Anaamua kuwa freelancer?
5. Ana mpango wa kurudi Clouds Media Group?

Hayo ni miongoni mwa maswali yanayoweza kutupatia majibu. Na yeye mwenyewe anaweza kuja hapa kuliongelea suala hili ili kuondoa sintofahamu kwa wapenzi wa kazi zake.

Hizi ndio faida ya juisi ya mbogamboga kwa wenye vidonda vya tumbo

Vidonda vya tumbo ni matokeo ya uzalishaji matokeo ya uzalishaji wa tindikali aina ya haidrokroliki asidi nyingi kuliko kiasi ndani ya tumbo ambayo huchangia uharibifu wa utando wa ngozi nyembembe ndani ya utumbo kubwa na tumbo dogo.

Zipo dalili kadhaa za tatizo hili ambazo huainishwa na wataalam wa afya ambazo ni pamoja na maumivu makali sehemu ya juu ya tumbo ambayo mara nyingi hutokea saa chache kabla ya kula.

Pia wataalam wanaeleza kuwa miongoni mwa chanzo cha tatizo hilo ni pamoja kula vyakula vilivyokolezwa viungo, kutokuwa na muda maalum wa kula, msongo wa mawazo na mengine kadhaa ambayo si rahisi kuyaainisha yote.

Sasa hapa naomba kukueleza msomaji wangu kuwa moja ya njia ya kupunguza madhara ya vidonda vya tumbo ni pamoja na kutumia juisi ya mbogamboga. ni vyema kutumia juisi mara kwa mara.

Unaweza kuandaa juisi ya spinachi, karoti kwa pamoja au juisi ya karoti na matango kwa pamoja kisha ukapata glasi moja kila siku na ukajikuta ukipata ahueni zaidi.

Sababu za Maumivu ya Mgongo

Sababu za Maumivu ya Mgongo

Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kusababisha maumivu ya mgongo

1. Maambukizi katika pingili za uti wa mgongo: Maambukizi katika pingili za uti wa mgongo kama vile maambukizi ya saratani ya mifupa huweza kuleta maumivu makali ya mgongo.

2. Kuvunjika kwa pingili za uti wa mgongo: Hii huweza kusababishwa na vitu mbalimbali hususani ajali ya kuanguka au kupinduka na gari.

3. Umri mkubwa: Tatizo la maumivu ya mgongo mara kwa mara huwakuta watu wazima na wazee.

4. Uzito kupita kiasi: Uzito wa mwili kupita kiasi husababisha kuelemewa kwa uti wa mgongo na hivyo kuleta mgandamizo wa pingili za uti wa mgongo na kusababisha maumivu.

5. Kukaa kwa muda mrefu: Kukaa kwa muda mrefu kama vile ofisini au madereva bila ya mazoezi hupelekea maumivu ya Mgongo.

6. Mtindo wa Maisha (Lifestyles): Mtindo wa maisha kama vile kupuuza mbogamboga na vyakula vya asili hupelekea kuwa na mifupa hafifu na hivyo ni rahisi kuathirika hata kwa msuguo mdogo tu.

Ukipata mwanamke mwenye sifa hizi 16 usimwache

Hizi ni sifa halisi za mwanamke wa kweli

1. Ni nguvu ya mwanaume
2. Ni jasiri
3. Mchapakazi
4. Mwenye kujiamini
5. Tegemeo la familia
6. Mwalimu wa watoto na familia yake kiujumla
7. Mlinzi wa mwanaume.
8. Chanzo cha baraka ya familia.
9. Adui wa maadui wa familia.
10. Sauti ya familia.
11. Mponyaji wa familia yake na taifa.
12. Mlezi wa huduma.
13. Mkombozi wa familia na taifa.
14. Msaidizi wa Mungu tumfanyie msaidizi wa kufanana naye.
15. Mwombezi wa familia, huduma na taifa.
16. Mficha siri wa Mungu